Monday, August 29, 2011

TUME YA MWAKYEMBE ILIFANYA HISTORIA, JE HII WATAWEZA?

Majina Ya Wabunge 5 Wanaounda Kamati Teule Ya Bunge Kuchunguza utaratibu na uhalali wa hatua ya katibu mkuu wa wizara ya nishati na madini David Jairo kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia kupitisha bajeti ya wizara hiyo.

Mbunge wa Tunduru Kaskazini Ramo Makani,
Mbunge Karagwe Gosbert Blandes
Mbunge wa Karatu Mch Yohana Natse.
Mbunge wa Gando Halifa Suleiman Halifa na
Mbunge wa Viti Maalumu Martha Umbula.

No comments: