Monday, September 12, 2011

Bado Watanzania tunaomboleza, leo ni siku ya pili. bofya usikilize Ebenezer, naipenda kiukweli hii nyimbo.


R.I.P Chibalonza, R.I.P ndugu zetu waliopoteza roho zao Kwenye Meli ya Mv Islander.

Ni nafasi kwetu kumshukuru Mungu kwani anatuepusha na mengi kila iitwapo leo.

No comments: