Saturday, February 12, 2011

Baada ya kazi kubwa ya nguvu ya umma, Mubarak wa Misri sasa ni Historia!!



Wamisri wameonesha njia kwa waafrika wenzao.


nguvu ya umma, kokote hushinda. haijawahi kushindwa.


Babu yangu alinambia "hakuna marefu yasiyo na ncha".

No comments: