Tuesday, August 23, 2011

David Jairo rudishwa kazini.


Kutokana na kilichojiri katika sakata la Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati na Madini David Jairo, Serikali imewaonya watumishi wa umma wanaotoa taarifa sehemu zisizohusika. unasemaje mdau.



ingekuwa nchi nyingine, tusingelala wiki hii.



No comments: