Monday, August 15, 2011

Hii ni kweli au Maigizo?


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dakta Shein na mkewe wakijumuika na wakulima wa karafuu kuchambua zao hilo kisiwani Pemba.

Na kama ni maigizo, Igizo hili linatufundisha nini?

No comments: