Tuesday, August 23, 2011

Mtoto wa Ghadafi ajitokeza mitaani Tripol!!



Baada ya kujitokeza mitaani, mtoto wa Kanali Ghadafi, Saif al Islam amesema NATO na mataifa ya Magharibi wanapigana vita ya propaganda kupitia vyombo vya habari.

Amedai kuwa baba yake ni mzima na bado yuko katika mji mkuu wa Libya, Tripol.


picha mbalimbali zikimwonyesha Al Islam akishangiliwa na waungaji mkono wa baba yake.

No comments: