Thursday, August 25, 2011

SINEMA YA JAIRO INAENDELEA-ASIMAMISHWA TENA KAZI



kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia hivi punde, Katibu Mkuu wizara ya Nishati na Madini DAVID JAIRO, amesimamishwa tena kazi ili kupisha kamati teule ya bunge kufanya kazi yake.

Hii ni kama sinema, leo bungeni Mheshimiwa PINDA amekuwa mdogo baada ya kuulizwa swali kuhusiana na sakata hili, ila jibu lake limekuwa la busara,


"tuiachie kamati teule ya bunge itagundua mengi" Pinda.

No comments: