Saturday, June 25, 2011

Uvumilivu wamshinda Lowassa!


Waziri Mkuu Mstaafu EDWARD LOWASSA,amewataka viongozi kuacha uwoga na kuthubutu kusimamia maamuzi ya serikali kwa manufaa ya taifa badala ya kusubiri mambo kuharibika ndipo wachukue uamuzi wa kuyatatua.

No comments: